iqna

IQNA

Umoja wa Afrika
NAIROBI (IQNA) - Waislamu wa Kenya wameitaka serikali ya nchi hiyo ya Kiafrika kuvunja uhusiano na utawala wa Israel kutokana na mauaji yake ya watu wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477745    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Afrika umelaani hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Gaa sambamba na kusisitiza uungajo mkono wake kwa watu wa Palestina.
Habari ID: 3475160    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23

TEHRAN (IQNA)- Harakati za muqawama wa Palestina za Hamas na Jihad al Islami zimeushukuru Umoja wa Afrika (AU) kwa kuutimua utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye umoja huo na kusema kuwa, hatua hiyo ni pigo kwa zile nchi zinazotangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo katili.
Habari ID: 3474902    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Afrika (AU) umesimamisha nafasi ya mwanachama mwangalizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika umoja huo hatua ambayo ni pigo kwa utawala huo unaokaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina.
Habari ID: 3474901    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07

TEHRAN (IQNA)- Viongozi na makundi ya ukombozi wa Palestina wameutaka Umoja wa Afrika (AU) kufikiria upya uamuzi wa mwaka jana wa kuipa Israel hadhi ya kuwa mwangalizi katika umoja huo.
Habari ID: 3474894    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05

CODIV-19
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa(UN( na Umoja wa Afrika (AU) kwa pamoja zimelaani "ubaguzi" ambao baadhi ya nchi za kusini mwa Afrika zimekuwa zikikabiliwa nao tangu kugunduliwa aina mpya ya kirusi kipya cha COVID-19 ijulikanayo kama Omicron nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3474633    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika .
Habari ID: 3474548    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12

TEHRAN (IQNA) Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa Kizayuni wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika (AU).
Habari ID: 3474439    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria ameelezwa kusikitishwa kwake na hatua ya baadhi ya nchi ya kung'ang'ania utawala haramu wa Israel upatiwe hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika .
Habari ID: 3474431    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kuwa nchi hiyo inapinga utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika .
Habari ID: 3474424    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Nchi 14 za Afrika zimetangaza msimamo imara wa kupinga utawala wa haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika
Habari ID: 3474149    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/01

TEHRAN (IQNA)- Nchi kadhaa za Afrika zinaendelea kupinga hatua ya utawala haramu wa Israel kuidhinishwa kuwa ‘mwanachama mwangalizi’ wa Umoja wa Afrika .
Habari ID: 3474140    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/30

TEHRAN (IQNA) - Viongozi wa Afrika wameulaani mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kuhusu utatuzi wa mgogoro wa Israel na Palestina na kuutaja kuwa usio na uhalali.
Habari ID: 3472455    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/09